Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 576
anapenda chovyachovyawote nyie wawili wazembe ndio maana amewapaki hapo..!!
ni yule anaetumia arv?au ni wa nssf?
Shimbonyi shafoo..!! wizi hawaogopagi eti hadi washikwe ugoni au waone haiinuki tena!!Yeleuwii... Watoa nje jueni hlo.
Atagawaje utamu nje?
Mimi tulikubaliana kuwa tupo wawili mimi na muke mukubwa.
Sasa kagawa utamu kwa mutu mwingine.
Hapa nipo morogoro kesho naenda mlimani kwa mzee sabini kumuvunja nguvu isisimame nje.
Isimame kwetu tu.
Hawezi kutuchezea
atagawaje utamu nje?

Angalia masharti tu kibao kisije kuwageukia nyie au mkakosa wote..!!Atagawaje utamu nje?
Mimi tulikubaliana kuwa tupo wawili mimi na muke mukubwa.
Sasa kagawa utamu kwa mutu mwingine.
Hapa nipo morogoro kesho naenda mlimani kwa mzee sabini kumuvunja nguvu isisimame nje.
Isimame kwetu tu.
Hawezi kutuchezea
Mtoe hata kijishipa cha ushikaji......!
anapenda chovyachovya
visichana vinapenda hela