Sikia nikwambie nimeuliza tu sawa huenda nikanilikosea kweny kuandika ama laa ila jaribu kua na ushuri wamaana kama umeshindwa we pita tu sio kuaza kushauli ujinga alf nikisha acha shule we utafaidika na nn kama ww uliacha kwa sababu ya kuandika ni peke yako sawa jamaa

Huu uandishi kwa kweli elimu haipo upande wako, kama una kipaji chochote kipambanie.
Ukishauriwa kuhusu elimu kubali kushaurika. Wengi humu ni wadau wa Elimu

Mimi ni mzee, elimu yangu ya chuo ni ya kipindi cha Mwinyi.
Rekebisha makosa ya uandishi kwa kutokupunguza herufi (kukata maneno), kubadilisha herufi (s≠x, s≠c) na kutokuchanganya herufi "l" na "r","a" na "h"...

Zingatia sana huo ushauri mkuu, usipuuze. Ukiandika ovyo ovyo watu watakujibu ovyo ovyo na hautapata majibu ya yale uliyouliza japo watu wana nondo za kutosha humu.