Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,208
Panda Tahemeed,Ratco,Dar express Au kilimanjaroWadau nahitaji kwenda Arusha week end hii nahitaji kueleweshwa basi zuri la kusafiri nalo lisilokuwa na usumbufu na pia Hotel nzuri ya kufikia yenye bei na kuanzia elfu 25.000 mpaka 30.000 kati kati ya mji.
Karibu mabasi yote yanayoenda Arusha kutoka sehemu zote za nchi ni mazuri na hayana usumbufu ila hakuna hotel ya elfu 25000 ama 30000 Arusha japo kuna nyumba za wageni za hiyo bei kama Kutetere, monjes zote ama 6 to 8.Wadau nahitaji kwenda Arusha week end hii nahitaji kueleweshwa basi zuri la kusafiri nalo lisilokuwa na usumbufu na pia Hotel nzuri ya kufikia yenye bei na kuanzia elfu 25.000 mpaka 30.000 kati kati ya mji.
Apande Tahmeed Coach hatojutia safari yake, apande First Class nauli elfu 33,000/- Tu. Usafiri wa Uhakika alafu atuletee mrejesho.Basi zuri haswa la kutoka Dar kwenda Arusha ni KILIMANJARO EXPRESS. Nauli ni sh 33,000 tu kwa Daraja la kati na sh 36,000 kwa Daraja la Juu. Ni basi zuri lisilo na Usunbufu hata kidogo.
Mwambie apande Tahmeed Coach, hatojutia safari yakePanda Tahemeed,Ratco,Dar express Au kilimanjaro
Hahahahahahaa, duh! Tukisema Klm siku hizi kaishiwa na magari ya uhakika tunabezwa. Huu sasa si ugonjwa wa moyo?iko special thread kwaajili ya post yako
mi huwa najibu kwa vitendo, ukiachilia mbali saa saba usiku unaikuta klm iko mto wami imeshindwa kupanda mlima, atakaebisha naweka video kabisa maana tulishuka kuwacheki kulikoniHahahahahahaa, duh! Tukisema Klm siku hizi kaishiwa na magari ya uhakika tunabezwa. Huu sasa si ugonjwa wa moyo?
Sawa Tahmeed safiPanda Tahemeed,Ratco,Dar express Au kilimanjaro