Tanganyika one
Member
- Oct 2, 2012
- 18
- 8
[h=5]SEMINA UBUNGO PLAZA; Watu wakaanza kujitambulisha, wa1; mimi naitwa john niko UDOMmwaka wa wa pili, nasoma LAW; wa2 naitwa Stella niko UDSM mwaka wa tatu nasoma PUBLIC RELATION, wa3 kwa kusuasua saaana huku akijishtukia, aaah, aaaaahh, eeeehhh eeeeehh mimi naitwa Paulo niko TANESCO mwaka wa4 nasoma MITA!!!!! Watu hahahahahahahaaaaaahhhhh!!!!!!!!![/h]