Masseto
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 1,589
- 3,105
Salaam Waungwana.
Jaman ninajambo uwa linanikosesha sana amani ifikapo usiku tena ni jambo linalojirudia rudia ata mara mbili kwa mwezi, kuzimiwa feni chumbani kwangu natumia feni ya mezani naPlug waya ukutani kwenye switch socket inafika muda nashtuka kuhisi joto naona switch imezimwa ukutani feni haiwaki.
Naiwasha tena socket itapita siku chache hii hali inajirudia tena nikahisi uenda ikawa ni shoti lakini hakuna kitu wala shoti inayosababisha socket kujizima, nikaamishia swich socket nyingine lakin nayenyewe ikifika usiku inazimwa kwenye mazingira ya kutatanisha feni inazimika joto linatanda ndani,
Mara siku nyingine nalala na nikiamka najikuta nimeelekea mwelekeo tofauti yaan miguuni ndio nimeelekezea kichwa na kichwani ndio nimeelekezea miguu,
Na tukio lingine uwa linatokeaga mara chache yaan nalala na simu yangu kitandan lakin ikifika asubuh naikuta simu ipo kwenye kochi ikiwa imechomolewa earphones na chaja
Nikajaribu kuwauliza wanazengo wakaniambia uenda hao wakawa Wachawi wanapokuwangia wanapokumwagia madawa yao ya ungaunga kwaiyo wanakuzimia feni ili isije ikaharibu uelekeo wa dawa ikapeperushwa na upepo wa feni ndio maana wananizimia feni, kuna wengine wananiambia nitege CCTV Camera nitaona kinachoendelea.
Je' ivi ni kweli cctv camera inauwezo wa kunasa matukio ya kishirikina maana naweza nikaingia cost za kununua cctv na isiwe msaada.