mfunge kamba mdomoni vinginevo siku nyingine atakung'oa korodani
Mapepo
Duu! ukichelewa kufa utaona mengi,sasa wewe unaetafunwa unastahmilia mpaka akuache mwenyewe au mpaka vipande vya nyama ya mwili wako vitoke kama anavyotoa vipande vya madogoro au ? manake nahisi mwili wako 60% inaalama za meno,usisahau sindano manake meno mtu akikutafuna hua sumu..