saudari ,siku hizi kuna ukahaba wa aina nyingi sana,kwanini mtu akiwa mpenzi wako ndo akugharamie kila kitu?
'
Ki ukweli nashindwa kuwatofautisha hawa watu na makahaba
'
Kijana mzima hafanyi shughuli yoyote,anasubiri aletewe na mwanamke!
'
Inakera sana!!

I hate this kind of ujinga.
Baba zima linataka lineemeshwe. mwaJ ndio zake hizo. Anachukua hela zangu anaenda kumuhonga Mwita Maranya
Wananikera sana yani mtu umekalisha kijambio nyumbani unasubiri mwenzako akahangaike halafu akuletee wewe.
Sina tatizo na wale walioolewa na wakakubaliana kuwa wao jukumu lao litakuwa ni kulea na mume ni kutafuta hela.Tatizo langu ni hawa wanaotafuta wenye hela ili wahudumiwe bila kufanya kazi!