Nasemea sasa wakati wa kukuchagua kama ivyo wanakuchagua IPI kati ya afya na ualimu? Au wanakuchagua zote mbiliVigezo vya kwenye guide book ndo vinaangaliwa
navofaham ukianza ku-apply lazma uchague mojawapo kati ya ualim au afyaa kam 1st choice ndo wanapokupelekaa wakizngatia vigezo vya guide book ya NacteNasemea sasa wakati wa kukuchagua kama ivyo wanakuchagua IPI kati ya afya na ualimu? Au wanakuchagua zote mbili
Apo nimekupata mkuunavofaham ukianza ku-apply lazma uchague mojawapo kati ya ualim au afyaa kam 1st choice ndo wanapokupelekaa wakizngatia vigezo vya guide book ya Nacte
Selection badoNaomba kujuzwa selection za diploma zimetoka? Kama ndio mwenye link ya vyuo vya afya na kilimo aniwekee tafadhali