NACTE wataanza lini tena kupokea maombi?

NACTE wataanza lini tena kupokea maombi?

Oscar adam

Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
8
Reaction score
4
Kwa yeyote anayejua kuhusu taarifa ya nacte lini wanaruhusu application za vyuo kwa form four candidates of 2016.
 
Mwezi wa Saba haufiki, application ni mwezi huu wa nne mwishoni
 
Msidanganyane, wataanza pale tutakapo ona tangazo la kufunguliwa kwa mfumo wa udahili kwenye website yao, haya mengine ni porojo tu za wana jf
 
Sasa kipi ni bora, kusubiri mpaka watoe, au watoe tamko kama kuna tatizo kuhusiana na application za mwaka huu masomo?
 
Back
Top Bottom