Kwani Cheti kitaandikwa St. Joseph University Campus? Chuo ni St. Joseph University in Tanzania na Chuo hakiwezi kutumia neno University bila ridhaa ya Ikulu....
usibabaike ndugu vyuo vya nacte vinaruhusiwa kutoa hadi masters co degree tu iwapo kama vimekidhi vigezo, mfano mzuri ni IFM, MIPANGO dodoma usiwe na hofu kuwa na amani ya moyo ndugu
Wasi wasi wangu ni kwamba sisi tuliomba as form six leaver kupitia TCU but wakati tunaendelea na masomo tukagundua chuo hakipo kwenye list ya vyuo vikuu vinavyotambulika nakusajiliwa na TCU. Sasa kama chuo hakijasajiliwa na TCU, ilikuwaje tena TCU haohao wakawapangia hicho chuo?
usibabaike ndugu vyuo vya nacte vinaruhusiwa kutoa hadi masters co degree tu iwapo kama vimekidhi vigezo, mfano mzuri ni IFM, MIPANGO dodoma usiwe na hofu kuwa na amani ya moyo ndugu
Bro TCU na NACTE ni vitu viwili tofauti na kila Organization hapo inafanya kazi kwa sheria na taratibu zake, NACTE wana husika kusajili na kudeal na vyuo vya ngazi ya kati japo kwa sasa wameshinda na kupewa ruksa ya vyuo vyao kutoa kozi za degree na masters, TCU wao nao wana vyuo vyao na taratibu zao, sasa kama chuo chao kama hakipo TCU na Hakipo NACTE hilo ni tatizo la uongozi wa chuo chao kushindwa kukidhi vigezo vya kuto huduma hiyo, na kama ni TCU ndo walio wapangia huko lazima kutakuwa kuna Makubaliano kati ya TCU na NACTE wa kupeana wanafunzi wakati wa udahiliMsikariri mambo, ni kweli vinatoa degree hivyo but sio kienyeji tu, ni baada ya kuwa accredited na TCU. Suala ni je hicho chuo chao tayari kimekidhi vigezo na kuruhusiwa kutoa bachelor? Hawa wahindi sio trustworthy kabisa, hawafai.
Bro TCU na NACTE ni vitu viwili tofauti na kila Organization hapo inafanya kazi kwa sheria na taratibu zake, NACTE wana husika kusajili na kudeal na vyuo vya ngazi ya kati japo kwa sasa wameshinda na kupewa ruksa ya vyuo vyao kutoa kozi za degree na masters, TCU wao nao wana vyuo vyao na taratibu zao, sasa kama chuo chao kama hakipo TCU na Hakipo NACTE hilo ni tatizo la uongozi wa chuo chao kushindwa kukidhi vigezo vya kuto huduma hiyo, na kama ni TCU ndo walio wapangia huko la
Sasa kwani mimi nimesema nini kinachokinzana na maelezo yako haya, na wapi nilipoonesha kwamba sijui tofauti ya NACTE na TCU?

Mkuu iko hiv sisi ni form six lever maombi yetu ya chuo tuliyatuma TCU, na kamkopo tukapewa ila cha ajabu baadae list ya vyuo vikuu vilivyosajiliwa nakutambulika naTCU ilipotoka mwezi July chuo chetu hakikuonekana, tulipowauliza TCU walituambia hivi "Chuo chenu kimesajiliwa ila kipo somewhere" tulipohoji somewhere ni wapi hatukupewa majibu zaidi yakutulaumu sie ni wasumbufu...
kama ilivyokuwa ada kwa wanafunzi mitandao ndio kabati letu....tulikitafuta japo mawazo kwamba kipo NACTE hayakuwa rahisi kwani tulijua wale hawashughuliki na degree...
Kwa bahati nzuri katika kuperuzi huko NACTE ndipo tukagongana nacho uso kwa uso....tena inadiwa programu walichokidahili ni primary education NTL level 6
Our doubt is...Je ni kweli NACTE sasa wanasimamia vyuo vya degree tena ualimu?
Pili: Kwanini tuombe chuo kupitia TCU afu chuo kipo NACTE?
Tatu:Kwanini uongozi wa chuo, Nacte na TCU wote hawakutaka sie tujue kama chuo kipo chini ya NACTE??
Nne: Kama utaratibu umekiukwa nani awajibike ili sie wanafunzi tunusurike yasitokee ya IMTU??
Mwisho: Nyie kama wasomi na mliotutangulia tufanye au tuchukue hatua gani ili kubaini siri iliyofichwa na chuo, nacte na Tcu?
Naomba kuwasilisha wakuu.
Wasi wasi wangu ni kwamba sisi tuliomba as form six leaver kupitia TCU but wakati tunaendelea na masomo tukagundua chuo hakipo kwenye list ya vyuo vikuu vinavyotambulika nakusajiliwa na TCU. Sasa kama chuo hakijasajiliwa na TCU, ilikuwaje tena TCU haohao wakawapangia hicho chuo?
Hayo ndio maswali unatakiwa kutusaidia kujibu
Umeshaumia mbona! Nacte wanadili na vyuo vya certfcate na diploma tu! Degrees ni Tcu
Wasi wasi wangu ni kwamba sisi tuliomba as form six leaver kupitia TCU but wakati tunaendelea na masomo tukagundua chuo hakipo kwenye list ya vyuo vikuu vinavyotambulika nakusajiliwa na TCU.
Tulipojaribu kufuatilia utawala wa chuo na TCU walikuwa na jibu moja kuwa chuo kipo nakimesajiliwa na kipo "somewhere"
Tulipozidi kufuatilia tukagundua kimesajiliwa na NACTE
so tunajiuliza why watudanganye km kipo kihalali?
Umesema umeomba kupitia CAS ya TCU so automatically TCU wanakitambua,Dogo piga Shule achana na siasa!