Nacte wanaanza lini udahili (application)kwa mwaka 2019

Nacte wanaanza lini udahili (application)kwa mwaka 2019

Joined
Sep 25, 2017
Posts
17
Reaction score
8
Jamn naombeni kuuliza hiv nacte wanaanza lini udahil kwa vyuo vya diploma na certificate kwa mwaka huu 2019. Pia je ni vigezo gani vya ufaulu kujiunga na course ya clinical medicine dplma
 
Vipi kuhusu form five, hivi post zimeshatoka wakuu????
 
Back
Top Bottom