Taarifa iliyotolewa na NACTE katika ukurasa wao wa facebook mda huu, inasema kuwa kikao cha joint admision kimekaa na kukamilika leo hii. Katika taarifa hiyo wamesema kuwa kazi ya kutoa majina itafanywa na TCU kwa lengo la kuepusha mkanganyiko na hivyo tcu inategemea kutoa majina hayo baada ya kukamilisha zoezi la kuondoa MULTIPLE SELECTION ya watu 2000 iliyojitokeza .
Kikao cha Joint Admission kimefanyika leo. Makubaliano ni kwamba majina ya waliochaguliwa awamu ya kwanza yatatolewa na TCU kupitia tovuti yake kuepusha michanganyo.
Katika kikao hicho imeonekana kuna multiple selections zaidi ya 2000 zilizosababishwa na baadhi ya vyuo kudahili nje ya mfumo. TCU inategemewa kutangaza matokeo hayo mara baada ya kukamilisha uondoaji wa tatizo hilo.
HUU wote NI UBABAISHAJI.
KAMA WAO NDIO WASIMAMIZI WA SUALA LA ADMISSION KWA NN WARUHUSU TENA VYUO KUPOKEA MAOMBI NA HUKU WANAJUA KUWA KUNA MULTIPLE ADMISSION INAWEZA JITOKEZA?
MM NAONA HUU WOTE NI UBABAISHAJI NA KAZI IMEWASHINDA.
duuuuh! Hii ndo Tanzania bwana na watu wake ndo hawa waliopo katka bodi ya vyuo! No way out inabidi tuvute subra hata wakisema hadi october wao ndio waamuzi waliopo.
duuuuh! Hii ndo Tanzania bwana na watu wake ndo hawa waliopo katka bodi ya vyuo! No way out inabidi tuvute subra hata wakisema hadi october wao ndio waamuzi waliopo.
Wapuuzi kabisa, Sie tulipe buku 50 then wengine waka apply vyuoni huko then waje kutusumbua, hao walio apply vyuoni walitakiwa wapotezewe wawekewe batch 2 mana wameenda kinyume na taratibu.
Bwana mim nshagairi kusoma bongo nawasusia tcu,midudu ya kielimu kila idara,duh cheki sasa!Acha niwaachie wenye nchi,yani kila cku nile chini kulala juu kama ndege.Tired,damit it!
Kwa maana hii vyuo ambavyo vimetangaza selection mapema majina vimetoa wapi? wakati waliomba kupitia tcu .Jamani waache uongo basi utendaji umekuwa bora kwenye vyuo kuliko tcu?
Kwa maana hii vyuo ambavyo vimetangaza selection mapema majina vimetoa wapi? wakati waliomba kupitia tcu .Jamani waache uongo basi utendaji umekuwa bora kwenye vyuo kuliko tcu?