NACTE transfer

Kastoryalfred

Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
29
Reaction score
13
Wadau naomba kuuliza jinsi ya kufanya uhamisho nacte,kutoka chuo kimoja kwenda kingine
 
Wadau naomba kuuliza jinsi ya kufanya uhamisho nacte,kutoka chuo kimoja kwenda kingine
acha kiherehere,uombe transfer majina second selection bado,NACTE WALISHASEMA WATATOA UTARATIBU,SO INAKUBIDI UTULIE
 
acha kiherehere,uombe transfer majina second selection bado,NACTE WALISHASEMA WATATOA UTARATIBU,SO INAKUBIDI UTULIE
Mkuu hivi ungemjibu bila kuandika "acha kiherehere" usinge eleweka? wakati mwingine tuwe tunatoa majibu mazur maana si wote wanakuwa wanajua kila taarifa zinapotoka...!!
 
Ukiingia kwenye profile yako unaweza kuomba transfer. Ila nachojua kwa sasa wamezuia kwa muda. Kuwa mvumilivu ila fuatilia kwa ukaribu
 
umechaguliwa wapi na course gani nikusaidie kuhama....na useme unahamia wapi na course unayohamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…