Ndugu wana jamvi hivi kuna mtu ana update zozote kwa wahitimu kidato cha NNE waliochaguliwa diploma ya ualimu naona kimya sana kwa Nacte karibuni sana wakuu kwa mawazo yenu.