NACTE registration, help please

Ndigwa

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
206
225
Kila chuo ninacho'apply' wanataka AVN kutoka NACTE, nime'register' NACTE na kujaza information zote zinazotakiwa, nimekuja kukwama wakati wa kujaza Index No ya FTC ambayo ipo katika mfumo wa UXXX-XXXX, nimejaza kama ilivyo, nikienda next, inagoma with the following message:
'Error! Incorrect Index number format, Use SXXXX/XXXX or PXXXX/XXXX formart and try again (Code 1000)'
Sasa nashindwa kuelewa nifanyaje
 
murugu

JF-Expert Member
Sep 13, 2014
238

Njoo pm nipatie hiyo index number nikusaidie
 
Ndigwa

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
206
225
Fuata ushauri huo. Kuna dada alikuwa na shida inayofanana na hiyo akaenda nacte wakarekebisha. Cm zao hawapokei ukipiga na email hawareply so nenda tu nacte bila AVN huwezi kuapply.
Asante, nimeenda NACTE nimefanikiwa kupata Award Verification Number, nimejaza. Kuna Registration Number tena natakiwa kujaza, nayo sijui ni ya wapi
 
morenja

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
4,508
2,000
Nikiweka S badala ya U naletewa message hii:
'Error! Provided Index/Registration number and Examination/Graduation Year not found in our database, check them and try again (Code 4001)'
Chuo bado hawajaingiza matokeo yako .haraka rudi kaulize chuoni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom