Ndigwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 210
- 59
Kila chuo ninacho'apply' wanataka AVN kutoka NACTE, nime'register' NACTE na kujaza information zote zinazotakiwa, nimekuja kukwama wakati wa kujaza Index No ya FTC ambayo ipo katika mfumo wa UXXX-XXXX, nimejaza kama ilivyo, nikienda next, inagoma with the following message:
'Error! Incorrect Index number format, Use SXXXX/XXXX or PXXXX/XXXX formart and try again (Code 1000)'
Sasa nashindwa kuelewa nifanyaje
'Error! Incorrect Index number format, Use SXXXX/XXXX or PXXXX/XXXX formart and try again (Code 1000)'
Sasa nashindwa kuelewa nifanyaje