NACTE nalo ni jipu

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
238
178
Waliosoma kozi za uteknolojia wa maabara za afya (medical lab technology) kwenye vyuo vilivyo chini ya NACTE na kumaliza september mwaka jana mpaka leo hii July hawajapata vyeti vyao.

Serikali imesitisha ajira, na vyeti wanavibania hivi wanategemea watoto wa maskini wataishi vipi mtaani? Bora wangewapa hata vyeti wakajitafutie Rizk zao huko private.

Makonda nae anakuja na yake ya kukamata wasio na kazi. Sijui huwa wanafikiria kwa kutumia kiungo gani?

NACTE WAPENI VYETI HAO RAIA, MTAANI NI KUGUMU.
 
Back
Top Bottom