NACTE Matokeo kwa SHAHADA

NACTE Matokeo kwa SHAHADA

kamandawasua

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
326
Reaction score
86
Mambo vipi waungwana,

Kwa mwenye taarifa za lini matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya shahada zitatoka, na kwenye swala la "capacity" inayochange kila wakati inakuwaje hapo???

Mwenye maelezo/taarifa zozote kuhusu hayo namwomba atupatie.

Shukrani.
 
kuhusu posti kuweni na subira kwani mchakato wa kudahili ndo upo mwishoni kwa degree,ila kuna uwezekano yakatolewa pamoja na ya diploma kwa sababu tarehe ya kijiunga na chuo husika imeshatajwa.Suala la kubadilika kwa capacitiy ni kwamba hiyo namba inayokuwepo kwa mda huo ndio nafasi zilizopo kwa chuo husika.
 
Dah..
Hii inasikitisha.
Kwenye capacity, watu waliomba walipoona kuwa na uwezekano wa kupata kozi hizo kwa vigezo kama capacity ya INTAKE ila inapochange kabla hatujachaguliwa inakuwa si jambo jema. Labda iwe ndo tunachaguliwa sasa na hizo capacity changes hazitatuaffect.
Kwa mfano:
kuna Chalii mmoja nimemwombea chuo na leo asubuhi nimeangalia nimekuta kozi tatu zina capacity ya zero na mbili zikiwa na 8,9 respectively.

Kwa hiyo matokeo yatatoka karibu na muda wa kufungua chuo???? inspekta
 
Unapofanya choices unatakiwa uangalie capacity ya hicho chuo na walioselekt kama 1st choice then ndo ukichague..na hilo la post ni siri ila kwa kuwa vyuo vitafunguliwa november mwanzoni basi kati ya september mwishoni au oct mwanzoni mzigo utakuwa hewani.
 
Poa kamanda ngoja tusubiri tuone. Hicho ndo kitu tunachoweza fanya wakati huu. Fuk Politicians
 
Wakuu Kuna mdogo wangu sehemu ya capacity wameandika 0 kote isipokua chuo kimoja tu wameweka negative 20 (-20)hapo maana Yake nini wakuu.
 
It means kwamba miongoni mwa waliochagua chuo hicho kama 1st choise,ishirini wameachwa mkuu.
 
kuweni wavumilivu. kuna dogo nimemfanyia application naona capacity Ina change kwenye vyuo vyote. nyingine zinasoma 300 kinachosoma capacity ndogo ni 100.

Mimi niliomba last year nikapoteza passwards za kuingilia CAS kwa hiyo wakati watu wanahangaika na capacity mi nilikuwa nime chill nasubiri kitakachotokea.

thanks God mwezi wa 11 naingia second year.

na GPA haikuwa kubwa kiviile ila sikuwahi kujua nn kinaendelea kwenye profile yangu hata siku moja.
 
Back
Top Bottom