Avittrust
Member
- Nov 17, 2017
- 22
- 6
Habarin zenu wanajamvi natumai mko poa kwa wale ambao hali Si nzuri basi Mungu awafungulie njia.
Niende kwenye mada naomba kuuliza wakuu hiv Nacte wanaangalia vigezo gani haswa?? Nmeomba vyuo vya afya kwa govt nimekosa na ufaulu wang form 4 :katika PHYSICS-C,CHEM-C,BIOLOGY-B ENGLISH-C,MATH-D Nlitaka diploma ya Medical Lab lakin cjachaguliwa je wanaangalia vigez gan haswa,,???
Ningeomba pia ushauri nmesikia kuna intake ya mwez 3 naomba mwenye kujua kuhusu hilo anipe ufafanuzi ni vyuo gani vinachukua,,,!!!!
Asanteni sana Ntangulize shukrani!!!