Habari wana Jamvi.
Naomba msaada, je mwaka huu mwalimu wa shule ya msingi wenye grade A haruhusiwi kusoma Diploma? Maana nina ndugu yangu anahitaji kujiendeleza ila vyuo vingi havitoi hii course siku hizi. Nimewapigja NACTE wamenijibu majibu mepesi "shit".
Mwenye uelewa tafadhari anijuze.
Asante