NACTE: Chunguzeni ubora wa elimu wa hivi vyuo

majiyamtungi

Member
May 13, 2018
38
22
Pitieni Hawa hapa mwanza, CBE, Tia ADEM, Afya, Na Chuo cha Mipango.

Nimejaribu kufuatilia ikiwamo hata informally kuongea na baadhi ya Walimu, Kuna Changamoto katika hivi vyuo.

Tunaojua Nini watoto wetu wanatakiwa kupata na kujifunza vyuoni tunahuzunishwa na habari hasi tunapokutana nazo. Tunahuzunika kwa sababu tunaona taifa linaangamia,, kuharibu Elimu ni kuua taifa,,
Tunakutana na habari ambazo si njema sana na namna Elimu inavyotolewa tena na vyuo vya umma, taarifa kuvuja kwa mitihani, mahusiano ya wakufunzi na Wanafunzi,, maksi zisizo akisi uwezo.

Hivi vyuo vya kati ni Mbadala wa Mfumo wa mitihani unaosimamiwa na Baraza La mitihani Tanzania. Ni mbadala kwa sababu ni mwanafunzi wa kidato cha sita ambae mtihani wake umelindwa na Polisi, Usalama wa Taifa,, ataingia chuo kikuu sawa tu na huyu ambae Maksi yake imetolewa na Mhadhiri wake kwa namna alivoona yeye, Sia ajabu wengi wakiingia kufanya shahada ya kwa kwanza wanapata tabu sana
Kuna historia ya uvujaji mitihani karibu kila mhula katika baadhi ya hivi vyuo kwa u chache wa nilicho jifunza hapa Jijini
 
Unafahamu pia kwamba usomaji wa chuo hauhitaji "msuli" kiviile kama sekondari hususan A-level? Hivyo usikariri mwenendo na ufaulu ktk maeneo hayo!
 
Mipango ni trash, wanachukua michepuo yote, mtu awe kasoma HKF au PCM, halafu mwishoe wote wanakuja kusoma Pure Mathematics, sasa hapo unategemea nini.
 
Mipango ni trash, wanachukua michepuo yote, mtu awe kasoma HKF au PCM, halafu mwishoe wote wanakuja kusoma Pure Mathematics, sasa hapo unategemea nini.
itakuwa ni majiniazi kama sio mashetaniazi....
 
Yuke jamaa mhaya wa chuo cha mipango alikua anakodiwa toka jiji anaitwa nani yuleee..? Yani alikua akipewa ppch tu anatoa pepa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom