kumbe na nyie stresssssss
habari wakuu, kwa tulioomba undergraduate programs kupitia nacte mimi mbona mpaka sasa profile yangu inaonyesha CHECK IN PROGRESS na nacte walisema kuanzia jumatatu ya leo tutaona kama tupo selected au laaa,hivi ni mimi tuu au kuna wenzangu kama mie?maana ni saa kumi na moja jioni sasa.
Mimi nilikuwa nimeandikiwa selected but not comfirmed ila kwa sasa wameniandikia confirmed nimechaguliwa mzumbe bachelor of health services management
hongera zako mkuu sisi wengine majanga tu hadi muda huu

aisee ni shida yaaani!
cjui ndo nimekosa

me too!