Nacte mmefunga mfumo kwa ajili ya uchaguzi tangu tarehe 15-9-2016 ni nini hasa kinawazuia kutoa majibu ya application zetu kwa takriban wiki mbili sasa kama sio uzembe?? Majibu ya haraka yanatusaidua kujua mapema jinsi ya kufanya maandalizi ya kwenda vyuoni au kutafuta fursa mmbadala kwa wakati toeni majibu.
Mfumo wenu wa cas. Vyuo vichache kwani mnachofanya kwasasa ni kuchukua pesa bila kujali muda stahiki wa mitaala ta kozi mbali mbali na maandalizi tanayotakiwa kufanya na wazazi kwa ajili ya kupeleka watoto vyuoni