MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
- Thread starter
-
- #21
Aksante sana SI unit ni kweli use mayo but pliz lazima huwa kuna vikitu umejiwekea Kuwa utaviangalia na Kuwa akifanya hivi au ikitokea hivi aka react vile basi sio mwenyewe au.? Maana hukawii Baada ya yote Watu wanakujakukwambia ah Yule mbona sie tulikuwa twamjua? Tulikushangaa tu"........hivi wema na diamond nao bado wanachunguzana...???..love is crazy...waswahili walisema ukimchunguza sana bata huwezi kumla (ila hii theory sio applicable kama una njaa)...kuna watu walizaliwa na talent ya kuficha uhalisia wao, ukishtuka ushatumiwa na watu wanasepa zao...and the otherside kuna wasioweza kuchunguza, once they fall in love, hawaangalii pembaeni wala kurudi nyuma...MBAYA ZAIDI,,,siku hizi pesa na luxuries zinamaliza kila kitu and power ya kuchunguzana inakua haipo...
Aksante amu ni kweli mtu akiwa so mtu utamjua...... But wamjuaje pasipo kuchunguza? Hivi kweli mtu akujie akuimbishe Kuwa anakupenda, uwe name wampenda afu usijiwekee kidoubt? Maana haut a Alama nyusoni ati..... Wengine hutujia na story za broken heart kumbe wamezibuni wao ndo wamevunja moyo ya wen zao...... Tunaamini tu? Tusichunguze?Mtu akiwa muovu muasherati automatically utamjua tu haihitaji nguvu nyingi sana kumjua same way to good ones.Tatizo lenu moja tu.....yes moja mnacomplicate sana maisha ya mapenzi.
Maisha haya ya sasa uanze kumchunguza mtu mwenye midevu yake aliyenyoa the vuzis kwa aina zote wembe,majivu waxing sijuimachine.
Hell no.Na mkiendekeza kuchunguzana mtachezewa/mtamegana mtaachana.
Take a break life is too short kwenye mapenzi ni kuinjoy maisha kujijenga na siyo kuchunguzana kuchunguzana waachieni FBI au CIA kibongobongo usalama wa taifa.
Mtoto halali na hela uko sahihi...... But hivyo vitu vya kuchunguzana ndo vipi........ Wamjuaje Kuwa ndiye?Kuna vitu vya kuchunguza, ila ikishazidi mwaka ni kupotezeana muda.
Kidogo hapa ninakubaliana nawe shemeji The Boss...... Lakini iweje baadae tulalamike kwa kulaani ngeli na ngali? ........ Kwangu ninaamini Kuwa tunapoona kitu na kufall pasipo kuchunguza tuna kuja tunagamble..... Na likija la kutukuta hatupaswi kulalama....... Kuchunguza na kujiridhisha muhimu hata likitokea unakubali Kuwa ulioverlook, mbona Kabla ya kutuvesha Pete huwa mnatipitisha kwenye screen za mama, dada, kaka na marafiki Zenu japo kisiri?:A S cry:πUnapotafuta nyumba ya kuishi..kuna nyumba ukiiona tu unasema hii hii hata kama kodi kubwa sana au inahitaji ukarabati ili uishi.na kuna nyumba ingine hata iweje unasema Hapana..siitaki...
Nakubaliana na wewe . Na laity wengi tungeweza kurekebisha hili wengi wasingekuwa na Madonda yatokanayo na mapenzi. :shock:πkatika dunia hii, moja kati ya viumbe vyepesi kuingiza kingi, ni mwanamke....
Wengi ni wepesi sana kusahau, wagumu kuchukua maamuzi mazito.
Nisaidie Damkubwa amu, wananiambia nichunguze... Kipi? Kuna vigezo maalumu?.... Okay Kama ananipenda je mtu hawezionyesha Kuwa ananipenda kufa kumbe Baada ya muda akajigundua Kuwa hanipendi? Hata hiyo kuchunguza Kama anakupenda wachunguzaje? Je waangalia number za calls? Fresh roses? Kakupa gari? Lunch? Kisses? Mie sielewi maana wengine wanapelekwa mpaka kwenye moon na Watu ambao hawamaanishi.......Dada mkubwa leo kaleta mambo.
Mbona hujamjibu mwenzako??? anachunguza nini??
na anachunguzaje??
Aksante watu8 angalau umenipa mwanga....... Je kuna vipaumbele shirikisho? Yaani common standards au ndo kila kumbe na vipaumbele yake? :shock::evil:Fanya kama vile mnavyotafuta saluni nzuri, mavazi mazuri, kipodozi kizuri n.k
Jua vipaumbele vyako na umtakaye aangukie katika vipaumbele hivyo...
Soulmate Mbu ni kweli use mayo but wako Watu ambao hata Kama Tabia na hulka zao ni majanga but wanapoamua kupenda au wanapopata mtu wa kumpenda huamua Kabisa kubadilika au wakajikuta wanabadilishwa na wawapendao. Au? πKwa mtazamo wa ki Mbu;
....hii linawezekana iwapo tu mwenyewe mhusika #Anauwezo wa kujichunguza na kujiridhisha mwenyewe [pasina shaka na majibu ya] hulka na tabia zake kwanza.
....baada ya hapo ndio ataweza chungua na kuvibainisha #Vijitabia vya huyo mwenza wake na [kama] ataweza ji "accomodate" navyo au la...
#MosKwito !
Mtoto halali na hela uko sahihi...... But hivyo vitu vya kuchunguzana ndo vipi........ Wamjuaje Kuwa ndiye?
Kidogo hapa ninakubaliana nawe shemeji The Boss...... Lakini iweje baadae tulalamike kwa kulaani ngeli na ngali? ........ Kwangu ninaamini Kuwa tunapoona kitu na kufall pasipo kuchunguza tuna kuja tunagamble..... Na likija la kutukuta hatupaswi kulalama....... Kuchunguza na kujiridhisha muhimu hata likitokea unakubali Kuwa ulioverlook, mbona Kabla ya kutuvesha Pete huwa mnatipitisha kwenye screen za mama, dada, kaka na marafiki Zenu japo kisiri?:A S cry:π