MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
katika dunia hii, moja kati ya viumbe vyepesi kuingiza kingi, ni mwanamke....
Wengi ni wepesi sana kusahau, wagumu kuchukua maamuzi mazito.
aisee, sipatii picha ingekuwaje...Excel mwambie mungu asante kwa kutuumba hivyo unadhani ingekuwaje tungekuwa hatusamehi na kusahau kama wanaume?
hivi wema na diamond nao bado wanachunguzana...???..love is crazy...waswahili walisema ukimchunguza sana bata huwezi kumla (ila hii theory sio applicable kama una njaa)...kuna watu walizaliwa na talent ya kuficha uhalisia wao, ukishtuka ushatumiwa na watu wanasepa zao...and the otherside kuna wasioweza kuchunguza, once they fall in love, hawaangalii pembaeni wala kurudi nyuma...MBAYA ZAIDI,,,siku hizi pesa na luxuries zinamaliza kila kitu and power ya kuchunguzana inakua haipo...
Dada mkubwa, chunguza kama anakupenda na kukujali. Nitarudi.
Unapotafuta nyumba ya kuishi..kuna nyumba ukiiona tu unasema hii hii hata kama kodi kubwa sana au inahitaji ukarabati ili uishi.na kuna nyumba ingine hata iweje unasema Hapana..siitaki...
Wapendwa wanaMMU natumaini mu wazima.
Jamani nimekuwa najiuliza sana kuhusu mahusiano. Sometimes huwa nayaona Kama ni Bahati nasibu hivi Kuwa unawezaokota dume au ukapata galasa. Najikuta naangalia Vilio Vingi vya "alinidanganya" "amenipotezea muda wangu" lakini kumbe kulikuwa na uwezekano wa kuijua nia yake tangu mwanzo. Pengine hata dalili ulionyeshwa ukapuuza au pengine tunapewa nafasi ya kuchunguza lakini hatujui tuchunguze nini........wengine tukishafunguliwa mlango basi tunaamini moja kwa moja Kuwa Huyu ndo mwema, hawezinitenda Kama mwaflani.......
Naomba tushee, ni mambo gani ya muhimu ya Kuwa makini wakati wa kuanza mahusiano na mtu?