Nachukia sana kuona wahindi na waarabu wanakaa Upanga wazawa tunalala Mbagala

Leo mchana nilikuwa naangalia ZAMADAMU kutoka TBCone, Kilwa Kisiwani ilijengwa ikajengeka inasmekana ilikuwa ni Nchi tajiri sana kwenye Mwambao huu baada ya Mogadishu na Mombasa na Zanzibar.
 
Ukitaka kujua hebu angalia hizo Sheikhdoms Qatar,Bahrain na UAE, wakati wanapewa Uhuru na Mwingereza walikuwa ni Masikini kuliko Tanzania.

Wakati sisi tulikuwa tumekalia Experiments za kipuuzi za Ujamaa, wenzetu walipiga hatua hapo ndio utajua IQ kubwa ni kubwa tu.

Tuwaige tuache Siasa za Kijamaa tusizoziweza zenye kulaza Akili.

IQ hafifu always huwa inasubiri Miujiza.
 
Inasemekana Wafalme wa Mapungubwe walikuwa wanafanya biashara sana na Masultani wa Kilwa Kisiwani na Sofala walikuwa wakipelekewa Vigoli vya Kiarabu na Kiajemi ili kuoana ili kuongeza Undugu na IQ pia .
 
Tukipiga kazi tusione aibu kuchanganya Damu na mbegu kutoka Mabara mengine au hata Afrika ya Kaskazini na Magharibi heshima itakuja tu.

Mfano hai Wachina,ilikuwa ni vigumu kuona Watalii wa Kichina kwenye Nchi za Magharibi leo wanakaribishwa kwa Red carpet (hapa nimeongezea chumi kidogo) tuchape kazi tuache ubaguzi wa kipuuzi na zulma.
 
Tukipiga kazi tusione aibu kuchanganya Damu na mbegu kutoka Mabara mengine au hata Afrika ya Kaskazini na Magharibi heshima itakuja tu.

Mfano hai Wachina,ilikuwa ni vigumu kuona Watalii wa Kichina kwenye Nchi za Magharibi leo wanakaribishwa kwa Red carpet (hapa nimeongezea chumi kidogo) tuchape kazi tuache ubaguzi wa kipuuzi na zulma.

Kweli kabisa mkuu
 
Waajemi na Waarabu na Wahindi tumewazulumu Kisiwa kizima na bado tukawazulumu Nyumba na Viwanda.

Halafu leo wao wanahali nzuri wakati sisi Ufukara unataka tukuua.

Kihistoria Waajemi ndio waliogundua Visiwa vya Zenjibaar
Zenj ilistaarabika siku nyingi wakaati sisi huku Bara tulikuwa tunalogana tu huko Mzizima.

Tuchanganye damu angalia Brazil.
 
br-735x490-wwp.jpg
racebrazil-4-3x2-1440.jpg
unknown1_custom-153222653454f4d2cced159ae56061a99261b1b4.jpeg


Angalia Wabrazil wanavyochanganya hakuna cha kuona aibu tuoane tuchanganye.
 
Sea View kuna washua kina Mkapa na Malecela kule.

Huku Don Bosco wafanyakazi wa serikali na wanajeshi wengi wamekwenda kwenye nyumba zao walizojenga nje kidogo ya mji.
Proudly mtoto wa ocean road na paka sasa mkazi na paka kuwa kiongozi wa kata ya kivukoni, bado tupo wazawa weusi
 
Back
Top Bottom