Ndio,tena vibaya sanaaaaaaaa.
Katika vitu ambavyo navichukia na naviepuka kwa udi na uvumba ni Kupenda, binafsi sioni faida yake zaidi ya karaha na mateso.
ndio mana nikataka kujua age yake manake,au ameongea kwa hasira sanaaaaa i can undestand him/her..
Kuna aliyeuliza age yangu, nina 31
Katika vitu ambavyo navichukia na naviepuka kwa udi na uvumba ni Kupenda, binafsi sioni faida yake zaidi ya karaha na mateso.
Madame S, asante kwa kuelewa halihalisi