Nachelewa sana kukojoa na kumkera mpenzi wangu. Nifanye nini twende sawa?

Za asubuhi washilika wa jukwaa hili?

Wadau naombeni msaada wenu , wadau nimekuwa natabia yakufanya mgegedo mda mrefu sana bila kufunga goli inayopelekea mwenzangu kulaumu sana kuwa amechoka ilihali mwenzake bado natamani kuendelea na hii inaweza kuwa tumefanya sichini ya dakika 45 hapo unakuta dalili ya goli bado haipo kabsa!!

Wadau nashindwa kuelewa kama hilo nalo kama nitatizo na kama nitatizo napaswa nifanye nini ili kuhakikisha naenda sawa na mpenzi wangu?

Kama kuna mtu nitamuudhi natanguliza samahani kwa sababu kwa mda mrefu nimevumilia nimeshindwa nmeona nifunguke tu!
Mle tigo
 
Yaani hizi mada zimekuwa nyingi!!!!!!Hapa ninachoona ni vijana wanaoleta hizi mada wanashida kisaikolojia,kujifariji basi wanajifanya vidume!
 
Unaenda lisaa lizima kasoro, duuh kuna w'wake wanajua kuteseka..
Au anakutegeshea tu hapo ufanye ukimaliza ufunike! Maana c mchezo
 
Hali ya kawaida si ugonjwa;kunusuru hiyo hali,muda mwingi mtumie kwenye maandalizi
 
Mimi kila mwanamke alienitunuku goli la kwanza kawaida tu dakika 15-20 ila sasa goli la pili hua sifungi mpaka mechi inahailishwa hii haijalishi hata kama beki hazikabi au golini hamna kipa. Hiki ni nini wadau maana hua natamani niwe top scorer nipige over 2.5
Labda ni mazoezi nayofanya maana hua nakimbia 10Km siku sita za wiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom