Kama unachukua zaidi ya dakika 30 na bado bao halitoki utakua na matatizo,mimi nadhani ni matatizo ya kisaikolojia,ulishajiwekea akilini kwako kua bao la pili huchelewa basi imekaa kichwani kwako.
Uahauri wangu,jaribu kutulia na utulize akili iwaze jambo moja tu wakati wa kujamiiana,pia uwe unajiandaa na kuiandaa akili yako kuhusu jambo unalolifanya
kila kitu kinahitaji maandalizi na utulivu wa akili vinginevyoutajikuta unafanya chini ya kiwango maana kwa huo muda unaouchukua kupata bao la pili inaonekana hata mpenzi wako hafurahii mchezo maana unageuka kua kero