Nachelewa kukojoa

Kuna wanawake wanawatafuta watu wenye sifa hizo...Cha kufanya acha PM yako open watakuja
 
unataka uwahi unakuwa unaenda wapi wakati umetenga muda kwa kufanya hayo mambo.

endelea kuchelewa maana huna unapo wahi.
 
Mzee baba bugia maji ya kutosha au kunywa uji wa dona utakojoa vizur tu bila shidaπŸ˜ŽπŸ™‚πŸ˜ŽπŸ™‚πŸ˜Ž
 
Ulipie tangazo kabisa na risiti uwape Mods..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…