Tito ni mwenyeji sana mitaa ya samora Avenue...nilimjulia pale 2006...Bwabwa la chama cha majambazi. Kuna siku mtamuona akiwa na mwandambo
AiseeTito ni mwenyeji sana mitaa ya samora Avenue...nilimjulia pale 2006...
kipindi niko kishoka pale... Tra ya zamani nyuma ya exim bank ...kabla hakuna hata mambo ya EFD mashine haijazaliwa..pesa tunalipa dirishani....tumemnywesha sana pombe Stesheni pale(kigorofani)...kuna mwanangu alikuwa anampumulia!.
πππTito ni mwenyeji sana mitaa ya samora Avenue...nilimjulia pale 2006...