Hata kama Lowasa anakosea hapa tunamhukumu bure..... Yeye si ni mkiristo....uamuzi wake kwenda kwenye mahubiri yoyote au mahali popote anapotaka kwenda kusikiliza neno la Mungu sioni kama ni tatizo... Uwezo anao na si dhambi au kusema kuwa kaenda kufanya ushirikina.... Hapa sasa tunakwenda mbali hasa tunapoingilia uhuru wa mtu katika kuabudu...... What is the problem so far