Nabii Catherine Ntepa

Mkuu mpe muda huyo jamaa. Wanaanzaga hivyohivyo na familia.

Ndo maana wahubiri wanapendaga wake zao sana maana ndo wafuasi namba 1. Ona Mwakasege na mkewe.
 
Mkuu mpe muda huyo jamaa. Wanaanzaga hivyohivyo na familia.

Ndo maana wahubiri wanapendaga wake zao sana maana ndo wafuasi namba 1. Ona Mwakasege na mkewe.
Tatizo mtaa anaofanyia kabugi, mijitu ya hapa huwa haijulikani misiktini wala makanisani labda ahame mtaa
 
Huyo ni kibaka ila huyo anatumia biblia wakati vibaka wa mitaani wanatumia mapanga na bisibisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…