Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Hivi "kumlaki" inamaana gani huwa hili neno sijawahi kulielewa
Thieves in their best form,kapewa na nani unabii!
Sio kumpokea?Hivi "kumlaki" inamaana gani huwa hili neno sijawahi kulielewa
Hilo ulilolisema kama mitume wa mwisho ni yesu na mohamed uliambiwa na nani? Kama una reference tupatie mkuu ama siyo huo pia ni uzushi tuTuliambiwa kuwa mitume/manabii wa Mungu wa mwisho ni Mtume M.S.W na upande wa pili ni Yesu Kristo. Lakini ukiendelea kusoma biblia maandiko yanasema nyakati za mwisho watu watakuja kwa jina langu naona ndiyo hao mitume na manabii ambao binafsi nawaita fake wamekuwa wengi sana siku za hivi karibuni wakiwa na lengo la kujitajirisha kupitia sadaka zetu(Mnisamehe kwa nitakaye kuwa nimemkwaza).
Mtume/Nabii wa mwisho ni Yohana Mbatizaji wengine baada yake ni fake.Tuliambiwa kuwa mitume/manabii wa Mungu wa mwisho ni Mtume M.S.W na upande wa pili ni Yesu Kristo. Lakini ukiendelea kusoma biblia maandiko yanasema nyakati za mwisho watu watakuja kwa jina langu naona ndiyo hao mitume na manabii ambao binafsi nawaita fake wamekuwa wengi sana siku za hivi karibuni wakiwa na lengo la kujitajirisha kupitia sadaka zetu(Mnisamehe kwa nitakaye kuwa nimemkwaza).
Eti kafuga ndevu awe kama Petro.
Kumpokea kwa shangwe..Hivi "kumlaki" inamaana gani huwa hili neno sijawahi kulielewa
Mbona kafanana na Maitreya.Kazi kweli kweli.Na kweli watadanganywa wengi hata yumkini walio wateule.