Nikiwa na akili timamu tena bila kulazimishwa na mtu ninakihama chama cha kupenda kikweli na kuhamia cha wazee wa hit and run kuunga mkono juhudi za maplayer.
Huyu pumbafu nimemjengea hadi mamake ni kweli niliahidi mwakani kumuoa lakini leo nimefanikiwa ku-hick simu yake daah hadi kabang anatoa hawa viumbe si wakuamini yaaani sasa ntayapunguzia machungu kwa wengine .
umeungwa mkono bro, so sadPole saana mkuu, mwenyewe nina kilio changu hapa
Pole na wewe pia.Pole saana mkuu, mwenyewe nina kilio changu hapa
Ahsante saana mkuu.Pole na wewe pia.