Naanzaje kuacha kunywa Bia?!!!.

Hizo vitamin ndo zinakufanya usiache au kuna kitu kingine. Naamini hizo vitamin unaweza kuzipata katika vyakula vingine. Wewe acha tu mkuu. Maana matokeo ya bia sio mazuri unapokuwa umezinywa
Ni sawa lkn, unapokunywa hio kitu unapata Vitamini zote hizo kwa mkupuo tofauti na kula Vyakula ambapo Vitamini hizo zinakuwa za kuokoteza. We huoni asilimia Zaidi ya tisini ya Wanywa bia wana vitambi!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…