Naanzaje biashara ya kuuza vyakula vya mifugo?

Debs3

New Member
Feb 18, 2017
4
1
Wadau,

Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza vyakula vya mifugo mfano pumba, dagaa, damu, mashudu ya alizeti na ya pamba n.k. Nishaurini nianzie wapi, mtaji mzuri ni kiasi gani, na vitu hivi navipata wapi kwa bei nafuu.

Nitawashukuru sana
 
Mtaji ulionao ndio utakaokufanya uamue kufanya hiyo biashara kwa ukubwa upi..
 
Wale wenye uelewa kuhusu hii biashara, nifungueni macho

Kuna taarifa za msingi bado haujaziweka kwenye tangazo lako, mfano, haujasema unapatikana wapi au hiyo biashara unataka kuifanyia wapi, je una sehemu ya kufanyia biashara kwa maana ya chumba/frem tuanzie hapo. Ninaweza kukuunganisha na jamaa yangu yeye anafanya hizo habari na alianzia chini kabisa. Nijibu hayo kabla hatujaongea sana.
 
Back
Top Bottom