if i were you,ningeichukua ya juu:it is stylish,good looking and classic!
Toyota Rav4
Ford
Kati ya hizi gari mbili ni ipi nzuri, kwa wenye uzoefu na haya magari hebu nisaidieni maana soon nahitaji mzigo mmoja kati ya hiyo miwili!
Halafu je niagize moja kwa moja kutoka nje au nichukulie show room za hapa Bongo..
sina utaalamu,ila nimeshauri kwa kigezo cha mwenekano!Nini wewe usilete siasa huku bhna, wewe toa ushauri ipi ipo poa..npe uzoefu kama unao...!!
Ya kule ni kule mkuu...
Okay, nashukuru kwa mchango wako!if i were you,ningeichukua ya juu:it is stylish,good looking and classic!
sina utaalamu,ila nimeshauri kwa kigezo cha mwenekano!
Btw,hongera,mkuu!
hivyo hutakiwi kuogopa vinapatikanaVipi mkuu kuhusu spares na service zake+ ulaji wa mafuta upoje mkuu..
Sina uzoefu ila no gari nayo tegemea kulisukuma soon mkuu we chukua ya kasha kuwa mengi mengi haina shida wanaleta tuNpe uzoefu zaidi basi mkuu, rav4 au 4d..
Sina uzoefu sana na hizi ila zimenivutia kwa muda mrefu model hii..
Karibu tenaNashukuru kwa ushauri wako mkuu...
60 mlnMm pia nahitaj Rava4 new model...
Hv ni bei gan? Kwa show room za hapa bongo.
Samahan kwa kuingilia uzi wako mkuu,
Samahan mkuu,naomba unisaidie pia bei ya old model mpya kwa show room za hapa60 mln
Shukrani60 mln
Achana na showroom mkuu nichek nikuagizie toka japan utasave robo ya pesa ambayo ungelipia showroomMm pia nahitaj Rava4 new model...
Hv ni bei gan? Kwa show room za hapa bongo.
Samahan kwa kuingilia uzi wako mkuu,