Dar half life
Member
- Sep 13, 2016
- 98
- 50
Ukitaka kujua mke wako na mzuri...mwache
Rais wa awamu ya nne alionekana hafai kwa sababu kulikuwa na Uhuru mkubwa sana wa kujielezea na kwa muktadha huo tuliweza kusikia mengi.
Ila serikali yeyote inayotumia censorship, Taasisi hazijengwi na haziheshimiwi taifa zima linabaki kusubiri Magufuli na makonda watafanya nini,watasema nini,Bunge sikuhizi ni Tulia ackson mteule wa Magufuli ndio azungumze,Polisi ipo mfukoni mwa watu wachache...ama kweli sehemu iliyobakia yakuongea ni hapa JF peke yake lakini for how long...Mjadala mpana wa kitaifa unaitajika dhidi ya mwenendo wa Serikali hii...Hii nchi sio mali ya mtu mmoja watu wa visasi wakipewa madaraka wengi tutaumia...ila ukimya wa watu kama kina Pengo,Mkapa,Mwinyi,Chenge na wengine labda mpaka watakapotajwa kwenye episode zijazo za series zinazoendelea...zikianzia karume alafu nchi nzima ..maana nchi imetoka magogoni,ikaenda lumumba sasahivi ni karume,kamata mashoga,kamata wasiokuwa na kazi,kamata wanaolala guest mchana,kamata watu wa shisha,kamata madawa ya kulevya......