Naangamia nahisi kukata tamaa

Nikupe koneksheni ya mtaalam?
 
Mm siku izi nachukia kazi za kuajiriwa..... Sizipendi Kaz za laki 2 na nusu mpk 1m labda kama ni kwame kabisa...

Nakushaur Kwa Imani yako NENDA KWA MWAMPOSA
 
Yatapita ....kuwa na Imani na endelea kumtegemea M/ Mungu pasipo kukata tamaa kwenye utafutaji..... Pia kabla hujatafuta ma sheikh kukuombea dua unapaswa kujiombea mwnyw kwanza....funga suna amka usiku swali mlilie M/Mungu hakika utafanikiwa na palipo fungwa patafunguka...Inshaallah
 

inshallah
 

Fanya kazi kwa bidii, ukianza amini unalogwa ujue umaskini unaenda kukuganda
 
Hizo mbegu ungeenda kuzipanda nje. Maybe n za mti wa matunda.
On a serious note, kama ukiamini umepigwa kimbola bas life lako litakua gumu kwa kipindi kirefu sana.
Kila mwanaume anapitia milima na mabonde kwenye life, kuna kipindi unawamba mpka unahisi ulikosea kuja duniani then later mambo yanakaa mswano.
Cha muhim we komaa kila kona ulishe familia yako life liende maana jeyri ya mshua n watoto kwenda chooni.
Huko mbele yatajiseti tu.
Hata b4 kupata hii kampuni X lazma uliwahi pitia msoto pia sema tu huu wa sasa hv unauona mkali kwa maana ulikua umebadolisha maisha so hata shida zako zikabadilika pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…