Naangalia mbele tu,, nyuma najiamini

hapo alikuwa anawinda mbuzi wa watu anafikiri swala
 
hiyo style ya kuwindia Mombasa hawatamuelewa
 
Maisha ya porini yanakubaliana na hiyo hali ya mwindaji.Mnaofikiria mambo ya Mombasa mnaenda mbali mno!
 
Mazoea kitu kibaya sana, hana hata wasi na amekubali kupigwa picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…