Naona kumekuchaMzuka wanajamvi
Nipo hapa naandaa script ya movie bonge la movie ambayo itateka gumzo la kila mtu nchini. Jina la movie Muuza madafu encounter freedom.
Ni hivi. Inaanza magaidi kutoka msumbiji wanavuka mpaka nakuingia Tanzania. Kufanya ugaidi, mauaji na kuteka watanzania wasio na hatia.
Rais anaita baraza la dharura likiwemo na wana usalama kujadili ni jinsi gani mateka watakavyokolewa.
Makomando wanatumwa haraka Msumbiji . Badala yake wanakumbana na upinzani mkali wengi wao kufa na kuretreat.
Baada ya hili rais tena anaita baraza la usalama huku akiwa na hasira na kuwaambia sitakubali damu na uhai wa mtanzania yoyote iendelee kupotea nataka hawa watanzania waliotekwa pamoja na wanawake na watoto waokolewe mara moja na kurudishwa nchini salama kujumuika na familia zao.
Ndo hapo mwana usalama mmoja anaamka na kumuambia rais kuna mwamba flani mkakamavu aliamua kuacha kitengo kwa muda baada ya kufiwa na mke wake sasa hivi anauza madafu. Alikuwa chini ya batallion na command yangu DRC na Comoro ambapo tuliweza kupata ushindi mkubwa kupitia yeye jina lake John Black muuza madaf.
Rais anatoa amri nimewapa amri mkamtafute muende msumbiji mara moja.
John Black kama kawaida kwenye kijiwe chake akiuza madaf ghafla msafara wa magari ya Tiss na jeshi yanafika.
Wananchi wanashangaa kulikoni?
Makamanda wanashuka na kumsalimia John unahitajika kuna mishen muhimu inabidi uitekeleze achana na hayo madafu ingia kwenye Gari mara moja.
Itaendelea
View attachment 2976118
Anajidanganya tu huyo. Yule sio mimi.Naona kumekucha
Muuza madafu kama "Joram kiango" vile!Mzuka wanajamvi

Mkuu yani licha ya script mimi mwenyewe ndo ntakuwa producer. Movie itakuwaya kuvutia mkono utatembezwa balaa.Wewe fanya kutuandikia simulizi tu humu tusome tuenjoy basi,, mambo ya kusema sijui hiyo script itakuwa GUMZO nchini ,, UNAJIDANGANYAAA 🤒😎
Sotamsahau mkuu
Huyo Mmongolian anajifurahisha tu. Hakuna script hapo. Mi na yule Komando ni watu wawili tofauti.Muuza madafu wa Ikulu kwani ye anasema?? maake yuko humu.
Asante Sana bwana mdogo. Nimeshafanya mahesabu movie itagharimu dollars za kimarekani million moja. Kutakuwa na special effect, fictions na actions za kutosha. Mkono John black na wenzake watakaoutembeza utakuwa wa aina yake. Licha ya mkono kutakuwa na ma assault rifles machine guns na visu. Kuna part John atazungukwa na magaidi kama 12 nakuwachallange wekeni bunduki chini nyie kama wanaume tuzichape kavukavu. Yani iyo part usipime muuza madaf atakavyotembeza mkono anaruka kima cha tulia akitua chini kima cha joti magaidi yote chalii halafu hizo sarakas anabwaka na kuibuka kutua nakutembeza helkopta kicks za laana yani usipime.
Huyo huyo asee!Muuza madafu kama "Joram kiango" vile!
Ukishachukuliwa hainaga kurudi nyuma hata KIDOGOMakamanda wanashuka na kumsalimia John unahitajika kuna mishen muhimu inabidi uitekeleze achana na hayo madafu ingia kwenye Gari mara moja.
Huyo ni chawa mfawidh bobez lililokubuhu Lucas MwashambwaMchumba ephen_ amecheka sana