Nina mpenzi wangu ambaye nampenda kweli yaani, sasa tumeongea usiku huu kwenye saa mbili hivi akasema atanicheki, ikabidi nijipumzishe naamka usiku huu nakuta nimechezea block bila kujua nini chanzo dah, haya mapenzi haya dah
Sijui ila na wivu sana sijui lkn nn shida maana hivi karibu nimejiunga whatsapp namba nyingine tofauti na yeye alioizoea sasa naamka nakuta kanitext kwenye namba iyo mpya alf kafuta ile text then kaniblock