TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Siendelezi Kampeni, Lakini ni Vizuri Kujifunza kwa Historia? Ingawa Ni historia ya Muda mfupi tu uliopita, Wakati wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM Jangwani, Mh. Rais Mkapa aliwaita Wapinzani na Watanzania wanaotaka kuleta Ukombozi, "Wapumbavu"
Kila Mmoja wetu ameona Uozo, Uonevu, Ufisi-adi alioukuta Magufuli katika Kila kona ya nchi, Ukwepaji wa kodi, na Kero za Kutisha anaopambana nao na Kweli Nasema ABARIKIWE SANA, Je bado Kuna anayedhani Mh. Mkapa alikuwa sahihi? (Tuweke siasa za Vyama Pembeni)