MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Tupia na zile za maCCM yakicheza huku yanabaishiana na kushikana viuno,au zile wakipigana kugombea posho,au ya jeykey akiendekeza usanii kwa kupiga ngoma hata moja tu!!!
Unapoongoza nchi ya Tanzania ilihali Dr.Slaa na Mhe.Tundu Lissu wapo uraiani, lazima serikali yako itakuwa na wakati mgumu, hasa kama serikali hiyo haifuati utawala wa katiba na sheria, kwa kuwa hawa jamaa ni hatari sana kwa ufuatiliaji wa masuala ya kiserikali chini ya katiba na sheria.
bado sijaelewa eti?
MSALANI umeishiwa picha??
Huyo mchele mchele niachieni mimi nimuonyeshe jinsi alivyo mpuu.zi kuliko member wote jf
ha ha ha ha, duh hi ni kali.Kikwete anawaza kuua raia wote wa Tanzania ili abaki yeye na Ridhiwani peke yao.
Unapoongoza nchi ya Tanzania ilihali Dr.Slaa na Mhe.Tundu Lissu wapo uraiani, lazima serikali yako itakuwa na wakati mgumu, hasa kama serikali hiyo haifuati utawala wa katiba na sheria, kwa kuwa hawa jamaa ni hatari sana kwa ufuatiliaji wa masuala ya kiserikali chini ya katiba na sheria.
na singida tieni ---- tieni tieni kwa moyo mmojaaaa ---numberi one eeeeee --- numberione ni CCMTunashukuru kwa picha nzuri. Maana hizi ni tofauti na zile za akina Komba wakikata viuno.
na Singida tieni - tieni tieni kwa moyo mmojaaaa ---numberi one eeeeee --- numberione ni sisiemuuu....Tunashukuru kwa picha nzuri. Maana hizi ni tofauti na zile za akina Komba wakikata viuno.
Ningekuwa na uwezo wa JK hakika hawa jamaa ningewaita Ikulu, tunaingia Mkataba wa kutenda kwa niaba yangu hadi muda wangu umalizike... Mafia wanasema "kila Mtu ana bei yake" ningefika Bei ya Lisu kwa gharama yoyote ile ...