Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Subiri vijana wa Lumumba waje utaona hoja watakazo tumia!!!
yeriko nadhani hujaongea bado sema usikikeUnapoongoza nchi ya Tanzania ilihali Dr.Slaa na Mhe.Tundu Lissu wapo uraiani, lazima serikali yako itakuwa na wakati mgumu, hasa kama serikali hiyo haifuati utawala wa katiba na sheria, kwa kuwa hawa jamaa ni hatari sana kwa ufuatiliaji wa masuala ya kiserikali chini ya katiba na sheria.
yeriko nadhani hujaongea bado sema usikike
heeeh,kweli?The guy with simple statements mfano juzjuzi tu kasema kuwa ameongeza siku 60 za katiba isipopatikana basi?
Kikwete mtu wa Msoga pwani yule ni mtu wa kutoumiza kichwa sana yule
The guy with simple statements mfano juzjuzi tu kasema kuwa ameongeza siku 60 za katiba isipopatikana basi sasa unajiuliza huyu bwana mbona anaonekanaga mwanadiplonasia anaona kabisa muhafaka wa katiba ni ishu badala ya kuonyesha jitihada kuifanisha yeye hataki kujichosha zaidi