Naamini DRC itakuwa most powerful country under Moise Katumbi

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Sio kwamba mimi ni shabiki saana wa Moise Katumbi au vipi lakini kwa macho yangu na akili yangu tu amini kwasasa Kongo wanahitaji mtu kama Moise Katumbi

Felix sio kwamba ni Rais mbaya hapana, Bali hafai kuwa Rais wa nchi kubwa kama Congo DR

Mwaka 1978 aliyewahi kuwa Rais wa Congo (Zaire) Mobutu Seseseko aliwahi kusema kuwa hili kuongoza Zaire inahitaji Rais mwenye akili kubwa sana

Na hichi anachofanya Felix ni kitu kizuri saana lakini itakuwa aibu kama hatotangaza vita na Rwanda maana tutaonekana kama mbwa fulani ambaye akiwa nyumbani kwao anabweka saana akiona mtu lakini akiwa peke yake au sehemu nyingine bila baba yake yule anakuwa mpole

Na wengi watatuchukulia kama nchi dhaifu saana
Kama anavyosema yeye kuwa ni Rwanda ndio wanaleta vita Congo na ni lazima apigane nao. Kinachomfanya asipigane na Rwanda ni kipi kama anaamini ana nguvu saana?

Ndio maana nilisema Congo tunahitaji zaidi Moise Katumbi, Sio kwamba Katumbi yeye hajui vita vya Congo vinaletwa na Rwanda Ila alichotamka kuwa vita kamwe haviwezi kuleta amani ya Mashariki mwa Congo
Suluhisho la vita ya Congo ni kutumia akili kubwa tu basi hapo watakuwa wamemaliza mchezo wote

Kwa undani zaidi nilikuja kuelewana pale aliposema kuwa makao makuu ya nchi inabidi yabadilishwe kutoka Kinshasa na kuletwa Mashariki mwa Congo hapo watakuwa wamemaliza mchezo wote maana capital ya nchi itakuwa karibu na zile nchi zinazosadikika ni madui wa Congo kwa hiyo hapo watadili nao vizuri na kutakuwa na ulinzi mzuri kwenye mipaka yetu na wao

Na mwisho Moise Katumbi ni jasusi la Kiisraeli hakuna chochote anachoweza kufanya Kagame pale Rwanda, Katumbi hasijue
 
Moise Katumbi ni jasusi wa wapi bwana! Acha exaggerations bwana! Jasusi wa Israel ilhali alivurumishwa nchini Congo kwa zaidi ya miaka mitano na Joseph Kabila? PUMBAVU! Hapana, TUMBAFU!!!
 
Tshisekedi anadanganya wakongo tu maana anajua wao Ni bongolala na watu wa mihemeko so anawaambia wanachotaka kukisikia,jeshi la kupigana Tshisekedi atalitoa wapi?

Jeshi lake wanapigwa na waasi kila siku, maeneo Ya nchi yake yanatekwa kila siku mpk inabidi isaidiwe na Majeshi ya nchi jirani ili kujaribu kuleta amani nchi kwake,eti leo ndio watapigana Vita 😄😄😄😄.

Moise Katumbi Ni akili kubwa.
 
Tshisekedi anadanganya wakongo tu maana anajua wao Ni bongolala na watu wa mihemeko so anawaambia wanachotaka kukisikia,jeshi la kupigana Tshisekedi atalitoa wapi?

Jeshi lake wanapigwa na waasi kila siku, maeneo Ya nchi yake yanatekwa kila siku mpk inabidi isaidiwe na Majeshi ya nchi jirani ili kujaribu kuleta amani nchi kwake,eti leo ndio watapigana Vita .

Moise Katumbi Ni akili kubwa.
Safari hii wa Congo wapo tayari na fascist lq kitusti linaenda kupelekwa kuzimu.
 
😄😄 Fashist lilishasema Congo wanajua Kigali ilipo so wasitishie tishie Ila wafanye kweli,labda wakiacha kukata mauno ndio watajua kupigana Vita.
 
Fashist lilishasema Congo wanajua Kigali ilipo so wasitishie tishie Ila wafanye kweli,labda wakiacha kukata mauno ndio watajua kupigana Vita.
Mipango imeiva ni jambo la muda, watutsi wenzako wansikitika maana wametumia muda mwingi kujenga nchi yao ila tolu anajitoa ufahamu safari watu wataishia Kigali.
 
Naona mke wangu mtamu kitobo kimeanza kukuwasha taratiibu.Iwe boooooojo

Wacongo wamejifunza kukupiga katerero umepagawa Sasa 😄😄
 
Ubaguzi ndo utawamaliza wacongo, walimbagua katunzi kisa ana damu ya weupe, wanawabagua watusi eti sio raia yaani wanaamini DRC ni ya wahutu tu
 
Kinachowagharimu Wacongo ni ubaguzi, na hill swala la Ubaguzi ni jambo la asili la Mwafrika, nenda popote Afrika kaangalie vyanzo vya machafuko ni ubaguzi,ni mwendo wa kubaguana kwenye namna ya kufaidi rasilimali za nchi.
Kwa nchi za Ukanda wa maziwa makuu tumejaliwa na rasilimali nyingi sana lkn tunashindwa kuzifaidi km waafrika kwa sababu ya kubaguana na mwisho tunaanza kipigana wenyewe kwa wenyewe nani na nani amiliki uchumi...hilo ndilo tatizo la Waafrika, mbaya Zaidi wale waliokuwa watawala wetu nao wamegundua hilo, kwaiyo wanatumia tu ile principal ya "if you want to rule them just divide them" Wale wajomba wamekazia apo kinoma, ndo maana unaona M23 ana silaa Kali sana kuliko hata Wacongoman.
Jiulize tu wamezitoa wapi na kwa rasilimali zipi walizokusanya au walizonazo...utagundua kuwa uwo mgogoro ni mtaji wa nchi za magharibi.
Mwisho wa siku Tshekedi atakuja kuondoka madarakani na kuja mwingine ngoma iko pale pale, hata aje uyo Mosei Katumbi mziki ni Ule ule.
 
Back
Top Bottom