Yaani kakomaa kama anafikiri Biology haikwei mmh!
Nimemwambia awe makini atakuwa alichanganya madesa.
Naombeni ushauri wakuu kuna kitu kinanitatiza kidogo.
Kuna binti iwa najimegea muda mrefu mara baada ya kupima tukaamua kutundika sox hewani na kuanza kumega kavu.
Kuna siku ilitakiwa tukutane bahati mbaya akawa kwenye hedhi tukasibili iishe baada ya kuisha siku ya 4 ya 5 tukakutana nikamega kama kawa.
Sasa imepita miezi 2 sijamega leo hii ananiambia ana mimba yangu.
Je wataalamu ni kweli anaweza pata ujauzito baada ya kutoka kwenye hedhi kukata siku ya 4 na siku ya 5 nikakutana nae wkt wataalamu mnadai siku ya hatari ni ya 13,14 na 15 sasa huyu binti kweli kapata ujauzito au ndo kigezo cha kujipatia za matumizi?? za ziada?
Naombeni ushauri wenu.
Unajua mkuu mpaka kachanga kazaliwe nitakuwa nimesha ingia hasara kubwa tu maana ilitokea sehemu jamaa kahudumia mtoto mpaka miaka 7 alafu mama akaja kumchukua na kusema mtoto wa mme mwingine dah ndo hapo sasa.
Fidel mie hapa naona tatizo ni wewe, kisa cha kuwa na mtu ambae huna future nae ni nini? Kama shida yako ni uroda mbona machangu kibao, huyu dada ulikuwa nae kwa ajili ya dezo au?.
huyo anakudanganya ili umpe pesa ya abortion apate mtaji so take care!
Mpwa umenisikitisha sana! umeuza mechi kizembe sana, shukuru amekuambia ana mimba yako, hebu fikiria angekuambia anaUKIMWI wako hahahah pangetosha kweli hapa!.
sasa tatizo ni kwamba aliona siku zake baada ya siku 4 hedhi ikaisha then siku ya 5 mm nikamega leo ananiambia ana mimba ni kweli mimba inaweza kutungwa kwa njia hiyo?
swala hapa ni hii mimba imekujaje kujaje wkt amemaliza hedhi siku ya 4 na siku ya 5 mimi nikamega?
ilishawahi kutokea pia kwa friend of mine,
Dah mkuu yaani hapa nashindwa nishike lipi na niache lipi.
Ila mzee jioni niandalie Konyagi kubwa sebuleni na mishikaki 5 utaagiza Blue Gate pale si jamaa anatengeneza? Akipita Doctor muulize hii ishu maana inanichanganya sana lakini nikipiga Konyagi hiyo najua nitakuja na mawazo mapya mazuri maana dahh siamini wakuu anyway nitakaa na mzee Chief Masanja tujadili kwa mapana.
sasa huamini nini? kama umetungisha mimba au unaogopa majukmu ya ubaba?
Unamaanisha akiona mwezi akimaliza ana anza tena hapo hapo? Naomba ufafanuzi wa kisayansi zaidi.
Anaogopa huyo mtoto asije kuwa huyu