Naahidi 6000 MGW za Umeme 2015

huyu jamaa atakua mmoja wa watumishi wa nishati na madini n anatafuta mawazo ya great thinkers
 
Je, EWURA utawapa mgao wa asilimia ngapi kwa gharama ya unit moja...!?
 
Pascal Ndege
Hujaweka wazi utaondoa tatizo kama muwekezaji au mwanasiasa?
 
Last edited by a moderator:

6000MGW ndio kitu gani..?

sijawahi sikia MGW ndio kipimo.gani hiki nisaidie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…