Mkuu mimi sina mashaka na wewe ila mfumo wa siasa kuoutway taaluma ndo majanga katka taifa letu. Kuna wahandisi washafanya feasibility study wakadesign ila yote hayo yakawekwa pending. Mfano kuna mhandisi aliwah kupropose provision za fibre cable katika njia kuu 'transmittion line' miaka ya nyuma kipind wanajenga hiyo miundo mbinu na isue ikapigwa pending. Leo hii tunaingia gharama za kuchimbua mifereji kupitisha mkongo wa mawasiliano. Nakushaur kama unania njema na si kutafuta umaarufu, tafuta proposal zilizofanyika uone potential zilizopo na zitakazokuwepo baada ya fursa ya nishati ya gas ndo urudi jamvini tujadili.
Nawasilisha!!!!!